Bodaboda Operators are standby at polling stations in Kilifi
13:21 Aug 8 2017 Kilifi
Description
Kuna mwanasiasa la eneo bunge la Kilifi ameiotishana madereva wa bodaboda watano kila polling station mwarakaya ward hivi leo saa mbili usiku, haijabainika wameitwa kwa lengo gani, lakini wamezua alama ya kuuliza na hofu kwa wananchi.
Leave a Comment