Pia kuna mzozo kati ya wana inchi na wenye maduka kutokana na unga ,,wenye maduka wanauza being ambayo haikutolewa na Government so RAIA wanasema watavamia maduka wayachome afadhali kue akuna maduka kuliko yaweko na yana wadhulumu, hio imekua shida sana Kwale county Lunga Lunga sub county perani vilege,,,
Leave a Comment