Description
Samahani saana taharuk ilipata nikiwa mwana DPC kilifi south sub county eneo la chonyi usiku saa 10 kuamkia 18:05:2017 gari 4 za police ziliegesha barabarani na police 4 wakiwa na bunduki wavamia nyumba ya mwabaya mbura mkanyi ambaye ni mganga maaruf chonyi na kumchukua akiwa nusu uchi wasimpe nafasi ya kuvaa nguo wamama walipopiga nduru police mmoja alipiga risasi hewani kutishia wamama wakanyamaza hadi sasa hatujui sababu na yuko wapi ujumbe kuchelewa ni hakukuwa na stima siku 4 chonyi asante philip
Police are reported to have arrested six men believed to be in connection with M.R.C in Chonyi at 4a.m 18/05/2017. Among the arrested is a witch doctor dragged from his home by officers who shot in the air to disperse villagers in the area who witnessed the early morning incident.
Credibility: |
 |
 |
0 |
|
Leave a Comment